To Advertise here call +255786419829

To Advertise here call +255786419829

Nape aulizwa Bomberdia ndiyo nini?

Mbunge wa Mtama(CCM), Nape Nnauye ameeleza kuwa wananchi wamemuuliza Bomberdier ndiyo nini.
Katika ukurasa wake wa Twitter ambao unaonyesha Nape akiwa katika picha na wananchi wa kijijini ameandika hivi “Watu hawa wanapambana na hali zao! Waliniuliza bomberdia ndio nini? Na sie wa vijijini tutafaidikaje au ni kwenu mjini tu!??
Nape aulizwa Bomberdia ndiyo nini? Nape aulizwa Bomberdia ndiyo nini? Reviewed by EXUPER ASSOCIATION on September 25, 2017 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.