Mpango huo wa
serikali umetangazwa mjini Dodoma na Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dk. Leonard Akwilapo, wakati alipokuwa akifungua Mkutano wa wadau wa ubora wa elimu nchini.
Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Chama cha Walimu Mkoa wa Tabora Bw. Khamis Lissu, ameshauri shule zisizokidhi vigezo vya kuwa shule zisipewe usajili, kama ilivyo kwa shule za binafsi, huku mratibu wa Mtandao wa Elimu Tanzania Bi. Catherine Sekwao akisisitiza umuhimu wa uwiano sawa wa ubora wa elimu katika maeneo ya mijini na vijijini.
Shule za Nyasi Kuondoka , Serikali imenuia kuhakikisha ndani ya miezi kumi na mbili ijayo
Reviewed by EXUPER ASSOCIATION
on
November 14, 2017
Rating:
No comments: